Sheikh Jassim

IQNA

IQNA – Wizara ya Awqaf na Masuala ya Kiislamu ya Qatar imezindua kitengo cha Vipengele vya Qur’ani katika Mashindano ya 31 ya Qur’ani Tukufu ya Sheikh Jassim bin Mohammed bin Thani.
Habari ID: 3482982   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/11/01